RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege -Kiembesamaki -Mnazi Mmoja inayoj
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege -Kiembesamaki -Mnazi Mmoja inayojengwa kwa kiwango cha lami (kushoto) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohamed, hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la Uwanja wa Ndege Wilaya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 8-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar