RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Bw. Nicola Alessandro, wakati akitembelea maonesho ya Sektya ya Utalii “The Z Summit” baada
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Bw. Nicola Alessandro, wakati akitembelea maonesho ya Sektya ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo 23-2-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo