RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kwa Mshauri elekezi wa kampuni ya Habcon

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kwa Mshauri elekezi wa kampuni ya Habconsult Ltd. Arch.Habib Shariff Nuru, wakati wa ziara yake kutembelea ujenzi wa jengo jipya la Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi linalojengwa katika eneo la Lumumba Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka.