RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jes
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake