RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kuipongeza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kukamilisha Mradi wa Skuli ya Sekondari
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kuipongeza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kukamilisha Mradi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahme Said