RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Zanzibar ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Zanzibar ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar leo 8-5-2022.