RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipongezana na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, baada ya kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipongezana na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, baada ya kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibare Mhe. Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Balozi) Dr.Katrin Bornemann.