RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumuapisha kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumuapisha kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.