RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Dk.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Dk.Idrisa Mustafa Kitwana na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja, kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliofanyika leo 12-8-2022.