RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.