RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Dr.Mehmet Gulluoglu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Taasisi ya Ufadhili wa Masomo Nchini Uturuki (YTB) ukiongozwa na Rais wa taasisi hiyo Bw. Abdullah Eren (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-12-2023.