RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi wa Bima Tanzania Mbunge wa Bunge la Tanzania Mhe.Wanu Hafidh Ameir, baada ya kumaliza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi wa Bima Tanzania Mbunge wa Bunge la Tanzania Mhe.Wanu Hafidh Ameir, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-9-2023 na (kulia kwa Rais) Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dr. Baghayo Saqware