RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kumpongeza Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Zuchu baada ya kumaliza kutowa burudani,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kumpongeza Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Zuchu baada ya kumaliza kutowa burudani, wakati wa Mkutano Maalum wa Kumpongeza kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Taifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja