RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, jana usiku 14-10-2022, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo.