RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe.Wieber De Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mhe.Wieber De Boer, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu leo 8-1-2024