RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar n
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bw. Nathan Belete, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa ajili ya kumazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-2-2023