RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi.Charlina Vitcheva alipofika Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Bahari na Uvuvi wa Umoja wa Ulaya Bi.Charlina Vitcheva alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar