RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira alipowasili katika viwanja vya Chuo Kampe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira alipowasili katika viwanja vya Chuo Kampesi ya Karume Zanzibar,kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.