RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa N
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 6-12-2023, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wakati wa Mzunguko wa 20 wa Mapitio ya Benki ya Dunia (IDA20) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum