RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, akinadiwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023,wakinadiwa Samaki aina ya Jodari na Dalali wa Soko hilo Bwa. Ali Hassan Mchoro, samaki huyo amebarikiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kwa shilingi 95,000/