Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.