RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, baada ya kuwasili Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, baada ya kuwasili Zanzibar na kuzungumzo na Waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake (U.A.E) na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora.Mhe.Haroun Ali Suleiman na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk.