RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Innocent Lugha Bashungwa (Mb) alipofika Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 11-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.