RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni Mwenyekiti wa “National Energy Center” ya Oman Abdullah Humaid Al Ma’amary, na (kulia k
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni Mwenyekiti wa “National Energy Center” ya Oman Abdullah Humaid Al Ma’amary, na (kulia kwa Rais) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-9-2024