RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Nchini Tanzania Bw.Shigeki Komatsubara, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 14-12-2023