RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika tabasamu wakati akibadilishana mawazo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika tabasamu wakati akibadilishana mawazo na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Ofisi ya Tanzania Dkt.Patricia Laverley, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 3-12-2022.