RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023