RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).