RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kuwasili katika viwanja vya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, baada ya kuwasili katika viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa viwanja hivyo leo 30-12-2023, vilivyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.