RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, akihudhuria Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kasakazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib 8-11-2022.