RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mradi wa Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi na Rais wa Taasisi ya “Chinese –African People’s Friendship

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mradi wa Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi na Rais wa Taasisi ya “Chinese –African People’s Friendship Association (CAPFA)” Dr. Li Bin, wakati wa utiaji wa Saini ya Ushirikiano wa Miradi ya Sekta ya Afya baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, jumla ya Miradi mitano imezindulia leo 16-5-2023. Hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar