RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisin ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.