RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi, kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.