RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya (ZRB) na Uongozi wa (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi ya (ZRB) na Uongozi wa (ZRB) alipotembelea kwa mara ya kwanza Ofisi za Bodi ya Mapato Zanzibar.(ZRB) Mazizini Jijini Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo na kutengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa (ZRB) Bw. Salum Yussuf.