RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma (kulia kwa Rais) na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 11-2-2023, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar