RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Hamza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Hamza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa taarifa ya matayarisho ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania, inayotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa Agosti 2022, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.