RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Waziri wa Nchi OR(TMS)na Idara Maalum za SM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed (kulia kwa Rais) na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali.-Khamis Bakar Khamis, baada ya kumaliza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4-3-2023, alipofanya ziara ya kushtukiza