RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za SMZ, baada ya kumalizika kwa kuwasilishwa kwa Mada
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makatibu Wakuu,Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za SMZ, baada ya kumalizika kwa kuwasilishwa kwa Mada mbalimbali na baadhi ya Makatibu Wakuu,wakati wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele, yalioandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).