RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar (Konseli Mkuu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar.(Konseli Mkuu) Mhe.Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha 21-11-2022.