Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar