RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw. Linden Morrison,alipofika Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw. Linden Morrison, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-6-2022, akiongozana na ujumbe wake