RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Mkuu wa Kikosi cha JKU Kanali Makame Abdalla Daima, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.