RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muwekekezaji wa Kampuni ya Eagle Hills Regionals Properties ya (U.A.) wakati wa utiaji wa Saini wa Miradi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muwekekezaji wa Kampuni ya Eagle Hills Regionals Properties ya (U.A.) wakati wa utiaji wa Saini wa Miradi miwili mikubwa ya Uwekezaji Zanzibar, baina ya Kampuni hiyo na SMZ, hafla iliyofanyika Dubai Umoja wa Nchi wa Falme za Kiarabu.