RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Hairston Bronauagh alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 4-11-2022.