RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Marekani na Ubelgiji wa Taasisi ya “The International Society for Gyn
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Marekani na Ubelgiji wa Taasisi ya “The International Society for Gynecologic Endoscopy” ukiongozwa na Prof. Dr. Bruno J.Van Herendael, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 25-1-2023