RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw.Aboud Talib Aboud (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 7-6-2023