RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali ikiwa ni kawaida yake kukutana na Waandishi kila mwisho wa mwezi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali ikiwa ni kawaida yake kukutana na Waandishi kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar