RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandis
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake ya kuzungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya habari kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 28-2-2023