RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe.Nape Moses Nnauye,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe.Nape Moses Nnauye, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.