RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, baada ya kuzindua Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.